Speed ya vodacom internet

djzmpr70

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2020
Posts
224
Reaction score
153
Voda wameleta option ya kuset speed ya internet, kuchagua low ama high.

Hii inamaanisha nini, na kabla ya hapo tulikuwa tunatumia speed gani?

Nanusa harufu ya kuibiwa hapa.
 
Hi ni kuwa mb zako ziende haraka
Lo mb zako zisiishe haraka
 
Vodacom wapo vizuri sana kwenye internet
Hapo kwenye option Wala hakuna madhara
 
Katika Mitamdao ya Simu Bongo Voda ni One of the best katika internet
 
Duh [emoji849].

Ila watu tuna negativity sana.

Kwa nini usione faida ukaona kupigwa.

Maelezo yanotosha kueleza waloweka wao.

Mwanzo speed ilikuwa 100MBPs

Ukipunguza inakuwa 5MBPs
naomba kuifahamu hiyo option unafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…