Mambo vp wakuu? ni matumaini yangu kuwa mko na afya njema.
Namshukuru sana ndg yangu Zasasule na wengine wameniwezesha kudownload windows 7 Ultimate lakini ina download slow mno hadi inakera, naomba mnisaidie iwapo kuna uwezekano wa ku-speed up kama tatizo c la network.
Natanguliza shukrani za dhati.
MDAU JR.