Speed limit

patanoo

Senior Member
Joined
Dec 1, 2017
Posts
182
Reaction score
140
Ni wazi kabisa kuwa mabasi makubwa takriban yote yamefungwa vidhibit mwendo kama serikali ilivyooeleza, kwa kiuzoefu changu kidogo haya mabazi yakivuka speed iliyowekwa na serikali naona mengi yanatoa alarm jadi sisi abiria tunasikia lakin cha kushangaz mbona maderava hawajali hata hiyo alarm unakuta bado ananyoosha mguu..je hakuna faini ukizidisha hiyo speed maana hawajali.kabisa alarm unakuta inalia kila wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…