Speed 50

KIMIYAKIMIYA

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
244
Reaction score
322
Hivi vibao vya katazo zaidi ya speed 50 ni kwa ajili ya magari tu, kwani waendesha pikipiki wanapita wakiwa zaidi ya speed 100 na hamna hatua zozote zinazochukuliwa dhidi yao!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Geshi ra porishi hariko kwa ajiri ya usarama barabarani bari kukusanya mapato...

Bodaboda hazina hera...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…