Mkuu kabasele, yupo mzee mmoja hapo Magomeni mikumi, anaitwa Dr. Ole, amefanya kazi muhimbili miaka mingi sana na sasa amefungua hospital yake( Inaitwa Ekenywa). Yule mzee hakuna tena mfano wake kwenye kutibu masikio. Mimi nilishakata tamaa kabisa na masikio yangu. Lakini alichokifanya hakina tofauti na miujiza..... kama una amini. Ukin PM nitakupa namba zao.