mi huyu jamaa namuona kama mnafiki vile watu wamepigwa mabomu kudaadeki,wengine wamedanja,watu wamemwaga damu wameandamana road na jua Kali,watu walijazana pale sabasaba kwa ajili yake afu leo analeta u.enge asa hivi anakula mafungu na serikali wakati jamaa zake kibera kule wanalala njaa..!!yaan mimi ndo maana sizipendagi siasa!!