Kiswahili chenu kibovu sana. Huwa mnajidai magwiji ila mkisikizwa vizuri munahari Kiswahili muno. Licha ya maneno ya Kiswahili mnayoharibu haya:-
Kuongeza -ga mwishoni mwa kitenzi. Kwa mfano:-
Naskiaga
Nakulaga
Naonaga
Kusema r badala ya l na l badala ya r
Mfano
badala - badara
Maringo - Malingo
Usijali - Usijari