ma-comrade popote mlipo, tafadhali msiache kupitia thread hii iliyoanzishwa na kilaza wa kikenya.
uzuri wa hii thread huhitaji kuandika maelezo mengi ya kufafanua jambo fulani.
una-share tu zile habari za tz zinazo trend kenya au zile zinazo repotiwa na media au blogs za kenya.
ukisha share unasepa zako kuendelea na shughuli zingine huku ukiwaacha wakenya wakibwabwaja hovyo kwa hasira.