Special Thread: Kwa Smart 911 & Mahondaw

SILLENT KILLER 2

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2024
Posts
482
Reaction score
862
Mwaka mpya na mambo mapya.wakuu najua mko vyema kabsa.Hebu nataka kuulza kuhusu hawa memba wetu smart911 na mahondaw.Hawa jamaa sijawahi kuona comment zao zikiwa ndefu tangu kuingia kwangu jf. kwa mfano utasikia,

asante kwa taarifa
Ngoja tuone

Akitotaka hapo anamtag mwenzak Cc mahondaw.labda hii ndo inafanya nimuone unic. labda kwa mliotangulia nipen majibu..? smart911
 
Mambo yao waachie wenyewe

Cc:
Smart911
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…