Wadau nimeleta Uzi huu mahususi kwa members kutakiana
heri katika sikukuu tajwa.
Mimi nawawish wafuatao wamegusa maisha yangu kwa namna
moja ama nyingine
-Tized
-King'asti
-Money stunna
-Nyani ngabu
-Lara 1
-Matola
-The boss
-Mizabwa
-Even salt
kama kuna makosa katika majina,mnisamehe.Jamii forums ni sehemu
salama na murua mtu kutumia muda wake katika harakati zozote,unapata
fursa ya kukutana na kubadilishana mawazo na watu ambao isingekuwa rahisi
kushare nao experience zao. Heri ya Xmas kwa members wote kabisa
Wasalaam
Heri ya X-Mas na Mwaka mpya Jukwaa kubwa, jukwaa maalum, JUKWAA LA SIASA.
Najua tunaumaliza mwaka huu kwa amani kubwa kabisa pamoja na kwamba tulikumbwa na misukosuko mingi, likiwepo Uchaguzi mkuu, bunge la katiba, mitikisiko mingi bungeni, pamoja na mambo mengine mengi katika nchi yetu kuhusiana na suala la siasa.
Pamoja na hayo pia, na jua tumelumbana kwa hoja kwa hoja, hoja kwa vihoja na hata vihoja kwa vihoja, lakini safari imekwenda vizuri na jukwaa limesonga mbele.
Mwaka huu kitu ambacho akitatoka kichwani mwangu ni Uchaguzi mkuu ambao kwa kiasi kikubwa tumeshuhudia mengi sanaa, mengine ambayo hatukutegemea kama yangetokea.
Ukiwa kama Mwana jukwaa hili changia chochote ambacho umekishihudia katika mwaka huu.
Mimi Kama Ibilisi mwema nawatakia merry X-mas na mwaka mpya.
Leo ni 25.12,2015 nawasalimu ktk jina la mwenyezi mungu wetu muumba mbingu na dunia,tumshukuru mungu kwa kutufikisha ktk siku ya leo naomba tupeane matukio mbalimbali ya siku hii murua,
Wana JF kuanzia New Members mpaka Wakongwe na Moderatos popote mlipo na Familia zenu nawatakia heri ya Sikukuu hii ya Noel na Shamrashamra njema za kuaga 2015 na kuukaribisha 2016
Bila kusahau Waislamu wote walioadhimisha Maulid hapo jana
Mwaka huu umekuwa na ukaribu wa sikukuu hizi mbili kwa namna yake pekee
Msherehekee kwa Amani na Upendo na familia huku mkiwakumbuka Wagonjwa,Maskini,Wajane,Yatima na walio Magerezani