Special Thread For SUV only

Hapo ni Lexus na Landcruiser tu.

Katika SUV naziota zile za ki FBI, BMW X3/5, M Bez G Wagen na GL, na Audi Q7 la kibabe.
chevrolet tahoe... chevrolet traiblazer and chevrolet surbuban

google them and u will thank me later
 
Nini tofauti Kati ya SUV, Station Wagon na Jeep?
Mkuu, kwa nijuavyo mimi, Jeep ni Brand, ni kama vile Toyota, tunaweza tukasema ni kampuni.

Lakini wagon na SUV, hizi ni generation au tusema mtindo.

Kwa mfano, Brand ya Toyota ina models(aina) mbalimbali kama vile Harrier au Vits ambapo aina hizo zinaweza kuwa na generations tofauti tofauti kama vile SUV mfano wake ni Harrier au Rav4 na station wagon mfano wake ni Corolla, pia generation nyingine ni sedan ambazo mfano wake ni crown au mark II
 
Bentley Bentayga

Mkoko mmoja wa adabu na heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…