Special Thread: Cristiano Ronaldo Fans

Mimi shabiki yake sana ila ubinafsi wake kisa kufukuzia rekodi ya mabao 1000 inagharimu timu zake kwa namna fulani.
Ubinafsi ndio uliomwezesha kuweka rekodi zote alizonazo. Ubinafsi ni tabia ya kuikumbatia sana kama unataka kufanikiwa kwenye jambo lolote
 
Hoja Yako dhaifu tena sana nenda YouTube kajionee before Messi to arrive in USA and now wao wenyewe USA wana Kiri kwamba Messi ameifanya league ya MLS iwe popular USA kwenyewe mpaka Dunia nzima , USA wenyewe mpira wa miguu walikuwa hawaupendi kabisaaa baada ya kufika Messi Kila kitu was turn upsidedown

So umesema kwamba watu wanavaa Jezi ya inter Miami kwasababu ya uzuri wa rangi !? Kwanza ncheke 🤣🤣🤣

Before Messi hajaenda inter Miami mbona watu walikuwa hawazijui hizo jersey!?? Ulikuwa unazijua hizo jersey before Messi !?

Messi amesababisha mpaka kina Kim Kardashian kina Serena Gomez Serena Williams kina daddy Yankee kina Dj Khaled kina lebron James kina will Smith na watu kibao maarufu wenye potential kwenda kutizama football before Messi being in USA kitu kama hicho hakikuwepo and now kwasababu ya influence aliyonayo amesababisha mpaka league ya mpira wa mpira wa miguu Toka USA kuwa mchezo namba 1 unaopendwa nchini humo na kuipiku michezo yote iliyokuwa inatawala hapo awali , thamani ya league imepanda mara dufu na wachambuzi wote wakubwa wa michezo nchini humo wanashangaa , kitu ambacho Cristina ameshindwa kukifanya kule saudia


halafu wewe unaleta blaa blaaa hapa 😁😁

Hiyo ndio nguvu ya Lionel Messi unaanzaje kum- compare na huyo Cristina !?
 
Cristiano ni famous kuliko Messi huo ndiyo ukweli ruka juu anguka chini huo ndo ukweli, ila huu uzi kwa sasa hauna maana cz yashapita hayo.
According to whom!? Messi ni famous wa mafamous that's why hata kina p.didy kina will Smith na mastar wote wa Hollywood Huwa wanaacha shughuli zao kwaajili ya kwenda kumtazama unalijua Hilo kwanza

Kama angekuwa ni star kumzidi Messi alipaswa Kuwa na influence na kuwafanya Watu wawe wanajaa uwanjani huko saudia kama Hilo limemshinda huo umaarufu anautoa wapi wa kumzidi Messi

Au Huwa haujui kwamba mashabiki huwaga Wana mzomea na kuliita Jina la Messi huko huko saudia anapokuwaga anacheza baadhi ya mechi !?
 
Nenda kaombewe una matatizo yasio saidia eti ligi ya marekani inatizamwa sana kuliko saudia pro league, umenifanya nicheke sana, yote HAYA KISA unamsifia huyo mandevu
 
CR7 ni mwanangu sana, ila talent yake ilimaliyika alipojiunga na Juventus.
Mtu AmBAe anachukua kiatu cha ufungaji Bora mara kwa mara kila anpo kanyaga unasema talent imeisha? MBONA Neymar akufunga ha ta magoli matano saudia ? Bro usi underllet juhudi za mtu, Messi kwenda France si palimshinda
 
Ulishawahi kumuona mbongo mtaani tandale ndani ndani huko kavaa jezi ya team anayo chezea cr7,,, haha kwa mana nicheke thamani ya jezi ya Ronaldo Leo ikavaliwe tandale, kuwa na heshima hiyo ni jezi na si madaso ya inter machame
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…