Kaka yumo mzee, soma list vizuri.Tafadhali Dunga kwenye line-up ya mwisho utakayoenda nayo usimwache Ricardo dos Santos Kaka.
Kaka yumo mzee, soma list vizuri.
Kwani hiki ndio kikosi cha mwisho cha kwenda nacho mashindanoni,sio kwamba kuna watu atawapunguza hapo?
Tafadhali Dunga kwenye line-up ya mwisho utakayoenda nayo usimwache Ricardo dos Santos Kaka.
Bora angemchukua dinho nijue moja kuwa kifaa changu cha nguvu kimo
Sasa Dinho anaenda kuchukua namba ya nani?
Mi naona anaweza kuchukua namba ya yeyote pale katikati au mbele lkn hakuna anayeweza kuchukua nafasi ya dinho na akaiziba sawasawa......Ana kipaji na uwezo wa tofauti sn
JF kuna watu wanachefua jamani, umetoka jukwaa gani mkuu, la mapishi, la siasa au lipi?