Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,201 Mpira ni mapumziko...
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 12, 2013 #1,202 duu hii kalisasa..
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,585 Dec 12, 2013 #1,203 watu8 said: Mpira ni mapumziko... Click to expand... vibaya gemu ipoje mkuu..
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,204 ndetichia said: vibaya gemu ipoje mkuu.. Click to expand... Sudan kazidiwa kiasi na Kenya, so far Kenya wamepata clear chances tatu wametumia moja... Nina imani Kenya watashinda hii mechi...
ndetichia said: vibaya gemu ipoje mkuu.. Click to expand... Sudan kazidiwa kiasi na Kenya, so far Kenya wamepata clear chances tatu wametumia moja... Nina imani Kenya watashinda hii mechi...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,205 Kipindi cha pili kimeanza... Dk 47 Kenya 1 - 0 Sudan
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,206 Kenya wanafanya counter attack...Peter Opiyo anapiga shuti kali lakini linapita sentimita chache pembeni ya mlingoti na kuwa goalkick... Dk 51 Kenya 1 - 0 Sudan
Kenya wanafanya counter attack...Peter Opiyo anapiga shuti kali lakini linapita sentimita chache pembeni ya mlingoti na kuwa goalkick... Dk 51 Kenya 1 - 0 Sudan
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,207 Dk 60 Kenya 1 - 0 Sudan Kenya wamechachamaa washambulia kama nyuki kutoka pande zote za uwanja...wanacheza kwa moyo sana.
Dk 60 Kenya 1 - 0 Sudan Kenya wamechachamaa washambulia kama nyuki kutoka pande zote za uwanja...wanacheza kwa moyo sana.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,208 Kenya wanakosa goli la wazi...mpira unaopigwa na Lavatsa unagonga mwamba wa pembeni na kurejea uwanjani... Dk 67 Kenya 1 - 0 Sudan
Kenya wanakosa goli la wazi...mpira unaopigwa na Lavatsa unagonga mwamba wa pembeni na kurejea uwanjani... Dk 67 Kenya 1 - 0 Sudan
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,209 Goaaaaalllll Allan Wanga anafunga bao safi la pili baada ya kumalizia vizuri krosi ya chini iliyopigwa toka wingi ya kulia na Philip Opiyo. Dk 69 Kenya 2 - 0 Sudan
Goaaaaalllll Allan Wanga anafunga bao safi la pili baada ya kumalizia vizuri krosi ya chini iliyopigwa toka wingi ya kulia na Philip Opiyo. Dk 69 Kenya 2 - 0 Sudan
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,210 Sudan wameshikwa sana hii mechi...pasi haziendi za mbele...sioni namna yoyote kama watarudi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,211 Dk 80 Kenya 2 - 0 Sudan
M Masuke JF-Expert Member Joined Feb 28, 2008 Posts 4,610 Reaction score 1,269 Dec 12, 2013 #1,212 Wenyeji wamecheza vizuri sana hii mechi ya fainali.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,213 Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ilikuwa ni 2002 mashindano yakifanyika Mwanza Tanzania... Naona leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya, Kenya wanakaribia kubeba tena ndoo hii...ni suala la dakika chache tu sasa...
Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ilikuwa ni 2002 mashindano yakifanyika Mwanza Tanzania... Naona leo ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 50 ya uhuru wa Kenya, Kenya wanakaribia kubeba tena ndoo hii...ni suala la dakika chache tu sasa...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,214 Dk 90 Kenya 2 - 0 Sudan Zimeongezwa dakika 4 za nyongeza...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,215 Masuke said: Wenyeji wamecheza vizuri sana hii mechi ya fainali. Click to expand... Wamecheza kwa kasi na kiwango kile kile kuanzia mwanzo hata sasa...
Masuke said: Wenyeji wamecheza vizuri sana hii mechi ya fainali. Click to expand... Wamecheza kwa kasi na kiwango kile kile kuanzia mwanzo hata sasa...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,216 dakika zilizosalia hazitoshi hata kwa njiwa kumeza punje ya mtama....uwanja wa Nyayo ushaanza kuzizima kwa makelele na mwanamwali kashatolewa nje
dakika zilizosalia hazitoshi hata kwa njiwa kumeza punje ya mtama....uwanja wa Nyayo ushaanza kuzizima kwa makelele na mwanamwali kashatolewa nje
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,300 Reaction score 108,331 Dec 12, 2013 Thread starter #1,217 Mpira umeishaaaa.... Kenya ndio mabingwa wapya wa Kombe la Chalenji la Cecafa 2013. Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ndani ya ardhi ya Kenya ilikuwa ni mwaka 1993. Dk 90 + 3 Kenya 2 - 0 Sudan
Mpira umeishaaaa.... Kenya ndio mabingwa wapya wa Kombe la Chalenji la Cecafa 2013. Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ndani ya ardhi ya Kenya ilikuwa ni mwaka 1993. Dk 90 + 3 Kenya 2 - 0 Sudan
Jakubumba JF-Expert Member Joined Mar 5, 2011 Posts 1,624 Reaction score 501 Dec 12, 2013 #1,218 Mara ya mwisho Tanzania kubeba hili kombe ni mwaka gani? watu8 said: Mpira umeishaaaa.... Kenya ndio mabingwa wapya wa Kombe la Chalenji la Cecafa 2013. Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ndani ya ardhi ya Kenya ilikuwa ni mwaka 1993. Dk 90 + 3 Kenya 2 - 0 Sudan Click to expand...
Mara ya mwisho Tanzania kubeba hili kombe ni mwaka gani? watu8 said: Mpira umeishaaaa.... Kenya ndio mabingwa wapya wa Kombe la Chalenji la Cecafa 2013. Mara ya mwisho Kenya kubeba ndoo hii ndani ya ardhi ya Kenya ilikuwa ni mwaka 1993. Dk 90 + 3 Kenya 2 - 0 Sudan Click to expand...
DE_GUZMANN Member Joined Dec 1, 2013 Posts 54 Reaction score 9 Dec 12, 2013 #1,219 watu8 said: Mburula wewe hujui hata mwanzisha thread ni nani...povu linakutoka tu kama kuku mwenye kideli Click to expand... Niggar hang uaself,KE is lifting the trophy right now plus that Kichagga language.smh...Get civilised
watu8 said: Mburula wewe hujui hata mwanzisha thread ni nani...povu linakutoka tu kama kuku mwenye kideli Click to expand... Niggar hang uaself,KE is lifting the trophy right now plus that Kichagga language.smh...Get civilised
PrN-kazi JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 2,900 Reaction score 445 Dec 12, 2013 #1,220 DE_GUZMANN said: Niggar hang uaself,KE is lifting the trophy right now plus that Kichagga language.smh...Get civilised Click to expand... ....we know, it was planned since in da quarter final, referees hv some questions to answer.
DE_GUZMANN said: Niggar hang uaself,KE is lifting the trophy right now plus that Kichagga language.smh...Get civilised Click to expand... ....we know, it was planned since in da quarter final, referees hv some questions to answer.