Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Holly hell....Tanzanians with ua average IQ,no wonder ua ladies get laid so easily
Na marefarew nao walichelewa walikuwa hawajalipiwa pesa ya hotelini..
Gemu itaanza soon
I used to chop many kenyan girls .. How is that? They have small IQ?
Give us a break.
Madem wa kenya wanafagilia sana wanaume wa kitanzania . No
Wonderr mna chama cha kutetea wanaume wa kenya kwa sababu mnapigwa sana hamuwaridhishi kitandani.
RE-read this thread's heading and come back to your sensesSasa kijana naona unaleta dharau kwa Watanzania...wengine tulikuwa kimya tukijua unajenga hoja
Hivi umesahau namna wanaume wa Kenya wanavyoendekeza ushoga...haswa maeneo ya Lamu huko...
Mkuu ndo maana makocha huwa wanafukuzwa, kocha ana mchango mkubwa sana kwenye ushindi, kwa kocha mzuri huwezi kumpanga bwana mdogo vile apige penati ya ushindi hata kama kwenye mazoezi alifanya vizuri wakati una wakongwe kama Ivo mwenyewe, pamoja na captain, inanikumbusha mechi moja ilikuwa ni Simba sijui na timu gani, Simba tukapata penati dakika za mwisho na tulihitaji ushindi badala ya wazoefu kama Nico Nyagawa kupiga ile penati wakampa bwana mdogo mnigeria alikuwa anaitwa Ikechuku, kilichofuata ni kukosa ushindi.sisi kweli ni wa kukosa yani.
sijabahatika kuangalia mechi, nmekuja mbio kuangalia matokeo..nimekuwa mpole ghafla!