Special Thread: CECAFA Senior Challenge Cup 2013

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
76,266
Reaction score
108,256
Patashika ya mashindano ya CECAFA Senior Challege Cup kwa mwaka 2013 inatarajiwa kuanza tarehe 27 ya mwezi Novemba na kumalizika 12 mwezi Desemba.

Mashindano ya mwaka huu yanatarajiwa kufanyika nchini Kenya katika miji ya Nairobi, Mombasa na Kisumu na yakijumuisha jumla ya nchi 12, nchi 11 wanachama wa CECAFA na nchi ya Zambia ambayo ni mualikwa.

Chati hapo chini inaonesha makundi pamoja na ratiba ya mechi zote tokea hatua za awali hadi ile ya fainali, ratiba imezingatia muda kwa masaa ya Afrika ya Mashariki pamoja na viwanja vitavyotumika.

Kwa wale wapenzi wa soka, mechi hizi mtaweza kuzitazama kwa matangazo ya moja kwa moja kupitia luninga zenu kwenye vituo vya TBC1, SuperSport9 East, UBC au KBC...

[TABLE="width: 772"]
[TR]
[TD]27 November 2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]Zanzibar [/TD]
[TD="align: center"]2 – 1[/TD]
[TD] South Sudan[/TD]
[TD]Nyayo National Stadium[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]Kenya [/TD]
[TD="align: center"]0 – 0[/TD]
[TD] Ethiopia[/TD]
[TD]Nyayo National Stadium[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 772"]
[TR]
[TD]28 November 2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]Burundi [/TD]
[TD="align: center"]2 – 0[/TD]
[TD] Somalia[/TD]
[TD]Kenyatta Stadium[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="align: right"]Tanzania [/TD]
[TD="align: center"]1 – 1[/TD]
[TD] Zambia[/TD]
[TD]Kenyatta Stadium[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

29 Novemba 2013

Sudan 3 - 0 Eritrea

Uganda 1 - 0 Rwanda

30 Novemba

Ethiopia 3 - 1 Zanzibar

S.Kusini 1 - 3 Kenya

1 Desemba

Somalia 0 - 1 Tanzania Bara

Zambia 1 - 0 Burundi

2 Desemba

Rwanda 0 - 1 Sudan

Eritrea 0 - 3 Uganda

3 Desemba

Sudan Kusini 0 - 2 Ethiopia

Kenya 2 - 0 Zanzibar

4 Desemba

Tanzania Bara 1 - 0 Burundi

Somalia 0 - 4 Zambia

5 Desemba

Rwanda 1 - 0 Eritrea

Sudan 0 - 1 Uganda

Baada ya ushindi dhidi ya Eritrea, Rwanda inaungana na Burundi kuingia Robo Fainali kwa nafasi ya mlango wa nyuma hivyo kukamilisha idadi ya timu nane kuelekea hatua hiyo.

Timu zilizoingia Robo Fainali ni Tanzania Bara, Rwanda, Burundi, Uganda, Kenya, Sudan, Ethiopia na Zambia.

Wakati timu za Zanzibar, Somalia, Eritrea na Sudan Kusini zimefungashwa virago.

Mechi za Robo Fainali

7 Desemba

Tanzania Bara 5 - 4 Uganda
Kenya 1 - 0 Rwanda

8 Desemba

Zambia 4 - 3 Burundi
Ethiopia 0 - 2 Sudan


Nusu Fainali
10 Desemba
Zambia 1 - 2 Sudan

Tanzania Bara 0 - 1 Kenya

Mshindi wa Tatu
12 Desemba

14:00 Zambia 7 - 6 Tanzania Bara

Fainali
12 Desemba

18:00 Kenya 2 - 0 Sudan
 
Watanzania wataendelea kuwa wasindikizaji au watatutoa kimasomaso? Swali hili nalielekeza kwa uongozi mpya chini ya rais wao Jamal Malinzi na kamati zote.

Tumechoka kuwa wasindikizaji. Serikali nayo irudishe soka mashuleni ili nyota wapya waibuliwe.
 
Historia inaonesha kuwa mashindano ya Chalenji kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati yalianza mnamo mwaka 1926.

Kabla ya kuitwa 'CECAFA Senior Challenge Cup', mashindano haya yalitambulika kama 'Gossage Cup' na baadaye yakatambulika kama 'East and Central Senior Challenge Cup'.

Mashindano haya ndiyo mashindano makongwe kabisa barani Afrika kuliko hata yale ya AFCON.


 
Mechi ya kwanza inazikutanisha Zanzibar na Sudan Kusini;

Hadi sasa ni dakika ya 50 zimeshamalizika

Zanzibar 1 - 0 Sudan Kusini

Bao la Zenji liliwekwa kimiani na Seleman Kassim mnamo dakika ya 5 ya mchezo
 
Dakika 62

Zanzibar 2 - 0 Sudani Kusini
 
Dakika 67

Zanzibar 2 - 1 Sudani Kusini
 
vipi jamani hakuna link yoyote ya kuweza kuona haya mashindano?

thanx mkuu watu8 kwa update
 
Dakika 62

Zanzibar 2 - 0 Sudani Kusini


...asante sana mkuu' endelea kutujuza jinsi mambo yanavyokwenda, ...naona ndugu zetu ZNZ wameanza vizuri leo..
 
...asante sana mkuu' endelea kutujuza jinsi mambo yanavyokwenda, ...naona ndugu zetu ZNZ wameanza vizuri leo..

Wanacheza na nchi ambayo kukusanya kodi ndio wameanza mwezi uliopita.
 
Dakika 90 (FT).
Zanzibar 2 - 1 Sudani Kusini
 
Mechi ya pili kwa siku ya leo ni kati ya wenyeji Kenya na Ethiopia.

Dak 7

Kenya 0 - 0 Ethiopia
 
Dak 17
Kenya 0 - 0 Ethiopia
 
Dak 34
Kenya 0 - 0 Ethiopia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…