Bibi Mikopo
Senior Member
- May 15, 2015
- 180
- 35
Safi. Mwongozo wa Bodi unasema:
Habari yenu!
Leo napenda kutoa taarifa kuwa UDOM walishaanza kufanya application za special programme diploma sayansi na hesabu,kwa hiyo kama wewe ni kidato cha nne au cha sita na ulifaulu vizuri masomo ya sayansi apply sasa,kwani mikopo inatolewa kwa wale wote wataoomba na kupata, maombi yako yanaakaribishwa sana.
Kwa taarifa zaidi ona viambatanisho hapa chini.
Fomu ya Maombi: View attachment 251657
Mwongozo na vigezo vya kujiunga Diploma: View attachment 251658
karibuni vijanaa....kaka zenu tupoo
Daaaaaaah me lyf la kitaaa lishanichoshaaa mwaka mzima tupo home tyuu