Special kwa wadada,chungu lakini dawa:

Kuanzia muonekano , ongea yake, story zake utajua tu kuwa huyu ni mke. Tatizo lenu mnaangalia sura na mnapenda wadada micharuko!
Sio wote kwakweli, wengi wetu tunaangalia tabia na kila kitu.
 
Sio wote kwakweli, wengi wetu tunaangalia tabia na kila kitu.
Pia ukumbuke kuwa unayemuona sio wife material mwenzako anaridhika nae. So ni kuangalia vigezo vyako wewe binafsi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…