Leo khutba ilizungumzia nini?
aisee situlisali masjid moja kwani we umesahau sasa?
Hahaha nakumbuka dear, ila unatakiwa uyafanyie kazi tulioambiwa kule
usijali nitajitahidi kuyafanyia kazi, unajua mi namuogopa sana mungu! nawe uyafanyie kazi pia
Kumbe ulikua unasikiliza maana nilijua unasinzia
nilikuwa very active, kwani we ulikuwa unacnzia?
Ntasinziaje na maneno mazuri yale? Yaani leo kanigusa si mchezo
hahaaaaaaaah! haya bwana, tunaimalizaje friday sasa?
Kesho ni weekend vileee? Inabidi tukabadilishe mazingira
itapendezaa, tutaenda wapi sasa? ila nahisi itakuwa vizuri ikiwa nje ya bongo au waonaje dia?
Nakupa hiyo nafasi, chagua sehem unayopenda...
aisee hadi natetemeka, looh nimepatwa kizunguzungu
Najua unashindwa kuongea hapa watu wengi, njoo huku basi
Huyu kidogo analipa kwa kupozea kwaresma