ntake radhi bana ijumaa yote hii nijee?? khaaaaa usitake nitende dhambi mie
nilikua naangalia hiyo picha kwa makini sehemu ulipoweka mikono na miguu nikajua kweli wewe kiwembe
hebu wacha hasira za kimasai!
kwani wikiendi iko jumanne? si leo hii mtoto mzuri?
weekend inaanza leo saa tisa huu muda wa swala
sasa sisi tunafanya prepayment bana!
hivi kwenu huko kuna western union mamii? au nikurushie kwa M-pesa haka kamilioni?
ha ha ha 0713855761. Nirushie mimi plizz.
halafu uje uchukue ndala zako baadae.
usijali nakuja kuchukua
coloured eh.....nimeona!
ulikuwa unaniita? aisee nilienda masjid mwenzio!
Allahu akbar inawezekana tuliswali masjid moja
inawezekana aisee!