Special Friday

vivian

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,825
Reaction score
1,307
Wale madadiii na mashostito wenzangu wapenda ijumaa.

Leo Tunaanzia St. Peters njia ya msalaba, baada ya hapo woote ndani ya chawote pub kupata Juice za kutosha na makange.

Tunawatakia wengine kwaresma Njema, halafu Excel mambo yako ya kuagiza Balantines kipindi cha Kwaresma uache. kama hutoweza kunywa juice please dont join us.

Nawapenda wote Jamani Mungu awalinde na kuwajaza baraka katika kipindi hiki cha kujiandaa kumpokea Kristu mfufuka.
mimi49 nipigie please!!!
 
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! vivian bana, nimekuthikia! ila dah..
Mlachake anakusalimia kwa udi na uvumba!

kwaresma njema mamii!
 
Last edited by a moderator:
ivi leo ijumaa! aiseee, Excel umeninyoosea ile baibui yangu niende kwa masjid?
 
@Misschagga hii ndio ijumaa wasemaje...?
nipigie basi....
 
Excel sasa ile inshu yetu ya jana niaje tena mbona kimya? sijui nianzie wapi hapa.

uli mzigo vipi bana?
 
Last edited by a moderator:
Excel sasa ile inshu yetu ya jana niaje tena mbona kimya? sijui nianzie wapi hapa.

uli mzigo vipi bana?

sasa mbona unakuja na kukata bana?

nimeonana vivian, kasema hana shida! bado ichana... sasa sema chochote!
 
vivian ule mpango wetu vipi? mlachake ndo huyoo mlangoni!
Eshy m.s ana mengi sana na mimi... !! ngoja nifanye zaidi ya kunyoosha baibui!

hakuna baibui hapa.
Ijumaa ile mpango mzima uko hapa chini do you see me there?

 
hakuna baibui hapa.
Ijumaa ile mpango mzima uko hapa..


[/UOTE]

aisee vivian wewe ni kifaa! loh! mbona mlachake atafaidi aisee!!

fanya tikitaka basi kijana apumzike kifuan kwa amani bana!!
 
Last edited by a moderator:
vivian ule mpango wetu vipi? mlachake ndo huyoo mlangoni!
Eshy m.s ana mengi sana na mimi... !! ngoja nifanye zaidi ya kunyoosha baibui!

hahaaaa! hebu niletee ilo baibui nachelewa masjid mie
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…