jamani siku hizi ukienda kariakoo kwenye maduka ya simu............wameandika kabisa hapa ''used'' na hapa ''new'' sijui kama nim haki kweli kwa mtu kwenda kununua pale......kwani hatuna ujuzi wa kujua kipi feki na kipi orijino au used.................