Vin Diesel, njoo uone wazabinazabina wanavyoota ndoto mchana.
sweetlady, ukimaliza kumlisha mumeo lunch unipigie tuongee umbea kiduchu. Nami ntakuwa nishamaliza kumbembeleza Paw wangu.
relax ndugu yangu,SL aliumbwa kuwa na nitts,period.
Vin Diesel, njoo uone wazabinazabina wanavyoota ndoto mchana.
sweetlady, ukimaliza kumlisha mumeo lunch unipigie tuongee umbea kiduchu. Nami ntakuwa nishamaliza kumbembeleza Paw wangu.
Heheheheh na nitts aliumbwa kuwa na SL period........akija Vin Diesel hapa utamfafanulia vizuri aelewe!