Matron Zion Daughter na best man stevoh hakikisheni hii ndoa inadumu na kudumu, mshenga Arushaone jukumu lako unalijua vyema,nyakanga gfsonwin mweleweshe mimisa maana ya unyumba.
uhh nashukuru kwa kutambua uwepo wa ndoa yetu ambayo ni mfano wa kuingwa ndani ya jukwaa hili.
Heshima kubwa nampatia mama watoto wangu Zion Daughter kwa kunipenda.
Bishanga nasikia ana nyumba ndogo vp hayo ya kweli?kasuku!
We The secretary si umeniaga unakwenda saloon? Unafanya nini huku?
mwambie ma heart bro.
halafu ujue naja huko j3??vipi baridi?? nitakupm nitakapo kuwepo uje kwaajili ya glass of ZANZI lolz!
Bishanga nasikia ana nyumba ndogo vp hayo ya kweli?