Kama unahitaji display za laptop size zote(10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea nyingine za laptop, Nitafute kwa Whatsapp au kawaida 0713218388 popote ulipo utafikishiwa.
Mkuu hapa dar mko maeneo gani kesho nitimbe, nina laptop mbili, moja shida ni adaptor, ya pili battery, hii moja ni hp, haka kengine nililetewa hata sikajui vizuri, nikija nako naamini ntaweza pata solution