Spare za VolksWagen

Spare za VolksWagen

mpitanjia2005

Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
40
Reaction score
5
Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from Germany....
Mobile: +255 783 882 883.
 
Asante Sana. nina Volkswagen Beetle kaka inanitua Jasho. yaaani inawaka lakini hairesi. nimeleta mafundi wamechokonoa mpaka wameuwa contrl box.

nashangaa nikiwasha inawaka alkini wameniambia control box imekufa.
 
Mkuu kwahiyo unahitaji control box?
Nitumie namba yako ya simu in PM au tuwasiliane kwa namba hiyo...
 
Kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta spare za Amarok. Ngoja nimpe Namba yako
 
sasa mtu ana AMAROK,natumaini ni latest sana dealer si yupo nyerere road pale kwanini tena aanze kutafuta mitaani???
kwa wenye GOLF MK4/5 sawa wacha wanunue mtaani kwasabbu ni gari za zamani,lakini SI AMAROK!!!akawaone dealers pale nyerere road
 
Asante Sana. nina Volkswagen Beetle kaka inanitua Jasho. yaaani inawaka lakini hairesi. nimeleta mafundi wamechokonoa mpaka wameuwa contrl box.

nashangaa nikiwasha inawaka alkini wameniambia control box imekufa.

inaweza kuwa imeingia kwenye LIMP MODE......inasababishwa na machenical failure nyingi sio control box tu....kwa kifupi baadhi ya gari[ninazojua ni bmw,audi,vw,volvo] zina system kwenye engine au gearbox ambayo ina-sense serious problem ikitaka kutokea kwahio gari inaingia kwenye LIMP HOME MODE i.e rpm inakuwa limited to not more than 2-3000 ili kukinga uharibifu zaidi,kwa maana hio speed huwa inalimitiwa isizidi 40MPH ambayo itakufikisha sehemu yenye msaada wa kiufundi....kwahio utaona gari imekosa nguvu sometime maandishi LIMP MODE
 
exactly kaka. some fundis came with the diagnosis Computers but ni longo longo tu
 
Ohhh boy kama mambo yenyewe ni haya nadhani ntakufa ndani ya Toyota
 
Kwa wale watumiaji wa magari aina ya VOLKSWAGEN na wanahitaji spare mbali mbali za VOLKSWAGEN yoyote, walioko Dar es Salaam au hata Mikoani, tuwasiliane ili waweze kupata Spare original from Germany....
Mobile: +255 783 882 883.

Je unauzoefu na VW Bora hii gari nimetokea kuependa je spare zake unazo,je ulaji wake wa mafuta ukoje
 
Back
Top Bottom