Lhey Member Joined Jun 18, 2012 Posts 27 Reaction score 6 Mar 23, 2013 #1 kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya mwanzo nyuma ya jengo kuu la ccm tabora.
kwa wale wakazi wa Tabora mjini. Kuna duka la vipuri/spare za pikipiki za bei nafuu kuliko kawaida. Hili duka linauza kwa rejareja. Linaitwa yarabi salama autospares. Lipo mtaa wa mahakama ya mwanzo nyuma ya jengo kuu la ccm tabora.
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,044 Reaction score 5,114 Mar 23, 2013 #2 Hilo neno ccm ndo umeharibu! Gundu
T tizo1 JF-Expert Member Joined Mar 9, 2011 Posts 861 Reaction score 159 Mar 24, 2013 #3 ule mtaa wa kuelekea mashineni?