Spare za Magari kwa bei nafuu!

Spare za Magari kwa bei nafuu!

Vodosky

Senior Member
Joined
Apr 6, 2016
Posts
154
Reaction score
134
Habarini.

Nimeona si vibaya kuwafaidisha wana jamii.

Niko na kigari changu aina ya IST kimepaki tu sababu matumizi yake ya mara moja moja sana kulingana na availability yangu jijini.

Nimetoka zangu shamba huko, kukiwasha kikanipa taa ya check engine, kuita fundi akanambia lazima nifanye service maana yaonekana haijafanyiwa muda na baadhi ya vitu vingine pia kubadili.

Nikapewa total ya vifaa Milioni Moja laki Tatu. Hapo sasa na usawa huu wa.... Nikaanza kutafuta used spares kulingana na budget yangu...

Kwa bahati Nikapata mshkaji akanielekeza kwa dogo mmoja anakaa nje ya nchi akanambia anaweza nisaidia kupata kwa bei mzuri huko sehemu aliko...

Aliponipa contact nikamtafuta nikampa order akanipa bei... nikamwagiza akaniletea kwa bei nafuu jamani tena mpya in 4 days!. Kwa service charge kidogo tu na mi nikasave laki tatu nzima.

Nikagundua tunagongwa sana spares hapa bongo!!

Ukihitaji Spares tena mpya za Gari aina yeyote anaweza kusaidia Just order in good time. Kwa bei ya huko yani ni bora kununua mpya kuliko used.

PM for his contact if interested.

Asante!
 
Kama nilivyo sema hapo mwisho kwa magari aina zote ukimwagiza atakutafutia atakutumia... kama unahitaji..

Mi Nimenunua spares kwake wakuu[emoji23]

Basi hata tukielekezwa mlango wa peponi kwa vile tumezoea moto basi hatuamini hahha... naelewa...

Ukiona unahitaji PM sio fishhy hata kidogo... Thanks!
 
Huko PM watalizwa wengi sana, hivi unajijua una nia njema kusaidia umma kwanini usiwe wazi hapo, jameni wekeni bayana mambo yenu.
Mwenyewe ni mwanafunzi anafanya hii katika free time yake huko aliko, hivyo anapenda kudeal na referals. Kuepuka watu wasio waaminifu. Huwezi jua nini kilishampata.

Na mi nimeona ni vizuri maana anayekuelekeza kwake atahakikisha unapata good experience.

So usiogope. PM ME.
 
Acha kujifunza utapeli!
Hizo spare za nje ya nchi ziingie kwa siku nne!! unaagiza Kenya au wapi? hakuna spare genuine ya bei poa, unaweza kununua nje kwa bei poa lakini ikifika customs lazima ulipe kodi inayotakiwa ambayo haipungui asilimia 28 kama unaagiza Japan (japan ni rahisi zaidi kuliko Ulaya au Dubai).
Nawashauri kama unaagiza spare nje kwa gari za kijapani kampuni ya Amayama ina bei nzuri kuliko wengine kama Megazip, Amazon nk Mfano ukiagiza shockup aina ya Mitsubishi MB 672230 Megazip ni US$ 516 kwa 1pc wakati Amayama ni $316 kwa 1pc..Malipo unatumia Paypal na unapata mzigo within 2 weeks.
Acheni utapeli wa mitandaoni
 
... hakuna utapeli ndugu... wafanya biashara wengi wanaweka faida kubwa huyu ukitaka kitu huko aliko anaangalia na kama mpaka kukufikia ni afordable anasaidia kuhakikisha kimenunuliwa na kimesafirishwa yeye anachukua service charge kidogo tu..

Kuna watu wengi wako kila pembe za dunia wananunulia watu vitu kwa stail hii... bottom line ni kupata vitu kihalali, Genuine na affordable.

Huwezi fanya utapeli kwenye mitandao, with Technology JF inayo uwezo wa kusaka mtu mwenye profile hapa popote alipo...

Ndio mana na mimi ni muhimu kujua watu ninao wapa referal...pia.... maana najua mtarudi hapa JF mkisema experience yenu...
 
Mwenyewe ni mwanafunzi anafanya hii katika free time yake huko aliko, hivyo anapenda kudeal na referals. Kuepuka watu wasio waaminifu. Huwezi jua nini kilishampata.

Na mi nimeona ni vizuri maana anayekuelekeza kwake atahakikisha unapata good experience.

So usiogope. PM ME.
mzee my numbert 0765414414 tuwasiliane calk me nahitaji engine
 
Back
Top Bottom