spare za ford focus zinapatikana wapi?

Mfuatiliaji

Senior Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
153
Reaction score
34
habari wandugu nahitaji spare za ford focus naomba mnijuze ni wapi zaweza kuzipata mimi nipo dar es salaam au kama kuna ajent wake au wataalam wa hizi gari
 
Hakuna shida leta details..unataka spare gani??model ya gari lako na ikiwezekana chasis namba
 
Bro hizo za kimarekani nadhani tafuta fundi mzuri anaweza kufit radiator ya massey horn hata ya noah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…