Asante ndugu Viking. Ni kweli wajanja wa tiles za China kwenye package ya Spain wapo. Daima namshauri mteja aje na fundi tiles ili amhakikishie ubora wa tiles zetu. Fundi mzuri anajua kuangalia kama tile ni rectified, unene wake, uzito, n.k. Utofauti wa Spanish na ya China ni kubwa sana kwa trained eye. Karibu sana mwenyewe ujihakikishie ubora wa bidhaa zetu. I la naomba kuuliza... kwa nini PM sio mazuri?