Mhh!, mwaka jana june mtu kachukua kwa 7.5M ikiwa na K's kama hizo. inakuaje today inakuwa huko iliko. Bei ya Noah itakuwa shilingi ngapi sasa? mnatutisha tuone maisha yamepanda wakati si kweli
Mhh!, mwaka jana june mtu kachukua kwa 7.5M ikiwa na K's kama hizo. inakuaje today inakuwa huko iliko. Bei ya Noah itakuwa shilingi ngapi sasa? mnatutisha tuone maisha yamepanda wakati si kweli
Yaani wewe jamaa story nyingi Kama kawaida !!!! Do something creative and productive that will benefit you rather than wasting time following my posts and commentsMunawar naona amerudi na lugha zenye staha hongera mkuu,happy eister
Kwa lugha zako chafu ukiacha na sisi tunakuacha wapo wadau nyuma lete shombo tuchafue srediYaani wewe jamaa story nyingi Kama kawaida !!!! Do something creative and productive that will benefit you rather than wasting time following my posts and comments
Kwa lugha zako chafu ukiacha na sisi tunakuacha wapi wadau nyumba let's shombo tuchafue sredi
Nissan x trail nitapata kwa sh? Mkuu.Habari moe junior ,
Usijari, hata maoni yako pia jambo zuri kwetu!
Karibu sana, na ahsante kwa maoni yako!
Waweza tuletea mteja nawe ukajipatia % zako!
MAGARI7
Tuma pesa acha maneno yasiyo na tija, mm nimetoka kwenye industry inayofanya shughuri kama hizo. Kwanza ndio nmetoka dec mwaka jana. Usinifanye sielewi, wewe ndio huelewi kitu chochote!. Tuma pesa acha ujambazi nikuletee hizo spacio. Ni Pm acha ujinga usiokuwa na msingiUsiongee vitu ambavyo huna elimu navyo !!! Spacio unregistered kwa 7.5 million ???? Mimi nitakupa million 9 naomba niletee ofisini kwangu Spacio tano unregistered !!!!
We wawapi?, tuma pesa uko mkoa gani?. Acheni kuwaibia watu, nimetoka kufanya biashara hizo kwahiyo naelewa tatizo lako mnataka super profit kwa wasioelewa!. We vipi, we unajifanya unaelewa kumbe ujambazi ndio umekujaa kichwani kwako huko!!. Sema upo mkoa gani?Yaani spacio bila namba hata ukiagiza mwenyewe from Japan hupati kwa 7.5 milllion !!! Acha kuwadanganya watu tafadhali