Nilikuwa nafuatiliano hii do!, kitu innatembea vibaya sana na nimeona kitu kimoja kuwa waliohusika siyo serikali ya marekani moja kwa moja ila ni watu binafsi raia wa marekani ambao wameshirikiana na NASA.
Kwa takribani miaka 9 walikuwa wanatumia vyombo vya Russia so kwa sasa wanaona neema kwao kupeleka raia huko anga za mbali na wameenda na mimea ili kujaribu kupanda.
👏 kwao.