Kuna tofauti kati ya star wars na star trek?Star trek
Noma sana hiyo serieItafute THE 100 ni serie mkuu
Tofauti kubwa sanaaa!!Kuna tofauti kati ya star wars na star trek?
Hii ARMAGEDDON si yupo mzee mzima Bruce Wills na wale wachimba mafuta?Armageddon..
Dunia hatarini kupigwa na asteroid kubwa.. suruhisho ni kutuma watu wakalipue asteroid hiyo kwa kutumia nyuklia! Na inatakiwa bomu hilo lipandikizwe kwa kuchimbwa so ktk crew lazima wahitajike wazee wa ku drill.. aliefatwa kuongoza hiyo timu na watu waliochaguliwa ni vituko..[emoji28]
But ndo wataalum wa kudrill sasa na hawajawahi kutoka nje ya dunia!..
Ni picha nzuri..
Swali unaweza kufa kwa kusave dunia..??
Deep impact
Idea inafanana na hiyo Armageddon.. mission zinawiana zote ni kwenda kulipua asteroid ambayo ingekuja kuigonga dunia,but mission yao ikafeli kwenye ulipuzi! Na ngoma ikakaribia duniani!
Hakuna msaada dunia inategemea isipokuwa nyinyi tu! Na mmefanya ulipuzi wakwanza lkn ngoma imegawanyika zimekuwa mavipande mawili!![emoji28]
Kwa wapenzi wa space movies weekend hii tujitungue kutazama hizo
Mwenye majina ya space movies nzuri tupia hapa wengine huo ndo ulevi wetu..
Watu ambao ukituuliza ungependa utembelee wapi mi nakujibu sayari ya Jupiter..[emoji12][emoji12]
Ndo sisi.
Ndo yenyewe.. jamaa hakuiamini ile timu iliyokuwa imeandaliwa na NASA!Hii ARMAGEDDON si yupo mzee mzima Bruce Wills na wale wachimba mafuta?
Au nimefananisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
October skyArmageddon..
Dunia hatarini kupigwa na asteroid kubwa.. suruhisho ni kutuma watu wakalipue asteroid hiyo kwa kutumia nyuklia! Na inatakiwa bomu hilo lipandikizwe kwa kuchimbwa so ktk crew lazima wahitajike wazee wa ku drill.. aliefatwa kuongoza hiyo timu na watu waliochaguliwa ni vituko..[emoji28]
But ndo wataalum wa kudrill sasa na hawajawahi kutoka nje ya dunia!..
Ni picha nzuri..
Swali unaweza kufa kwa kusave dunia..??
Deep impact
Idea inafanana na hiyo Armageddon.. mission zinawiana zote ni kwenda kulipua asteroid ambayo ingekuja kuigonga dunia,but mission yao ikafeli kwenye ulipuzi! Na ngoma ikakaribia duniani!
Hakuna msaada dunia inategemea isipokuwa nyinyi tu! Na mmefanya ulipuzi wakwanza lkn ngoma imegawanyika zimekuwa mavipande mawili!![emoji28]
Kwa wapenzi wa space movies weekend hii tujitungue kutazama hizo
Mwenye majina ya space movies nzuri tupia hapa wengine huo ndo ulevi wetu..
Watu ambao ukituuliza ungependa utembelee wapi mi nakujibu sayari ya Jupiter..[emoji12][emoji12]
Ndo sisi.
Ongeza vitu.. nina hamu nazo sana ila interstellar ilinichukua muda kuimaliza nilikuwa naona ya kawaida na ingekuwa ni season sidhani kama ningeiangalia!Interstellar kwasababu ni hard scifi movie. Sayansi inayotumika pale ipo as accurate as possible na inakufanya uwaze juu ya future of humanity.
Nyingine labda ni 2001 A Space Odyssey.
Wale wehu kweli wale.Ndo yenyewe.. jamaa hakuiamini ile timu iliyokuwa imeandaliwa na NASA!
Akaomba ateue watu anaowaamini yeye ndo hao wenzake ila sasa walivyo akili mbovu..[emoji23][emoji28]
Waliniacha hoi kipindi wanamfata yule mniga jamaa wameweka uzio wa magari mawili ye kapita halafu linaona raha tu[emoji23][emoji23]
Haya ndo mambo sasa ila kwenye hiyo list baadhi nimeshaziona fanya kujalizia ili ziwe nyingi mingi..๐๐๐October sky
Contact
Hidden Figures
Passengers
First man
The Right Stuff
The Martian
Apollo 13
2001: A space oddysey
Moon
Ad Astra
Solaris
Sent using Jamii Forums mobile app