Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
Mshambuliaji wa Simba SC Jonathan Sowah ameifollow page ya Yanga kwenye ukurasa wake wa Instagram , Sowah amefollow kurasa 768 miongoni mwa hizo kurasa ni pamoja na Klabu ya Yanga
Jonathan Sowah mara kadhaa amewahi kunukuliwa akisema Yanga ni nyumbani kwao na muda wowote atakuja kwenda.
Yawezekana Baada ya kutoa warning hapa JF .....kijana amesoma na kulijuwa kosa lake ...then Kai follow Yanga pale mjini Instagram
NB: bado Yanga hawajakusamehe ....hutafikisha goli 7 Hadi uondoke u-koloni
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app