Zaidi ya hapo watu wanachanganya mapenzi na hisia za mapenzi,sifa kubwa ya upendo(mapenzi) ni long lasting,lakini hisia za mapenzi huwa zinaishi kwa kubadilikabadilika.nitatoa mfano:-
kuna vitu unaweza kuvipenda leo usivipende kesho,leo unaweza kupenda kwenye mlo wa mchana ule ubwabwa,lakini kesho yake usipende kitu hicho ,hizo ni hisia tu na si mapenzi,
Hoja ya pili mapenzi huelekezwa(huwekwa) kwa watu na si vitu ndio maana tunawapenda marafiki zetu,ndugu zetu ,wazazi wetu na hata wenzi wetu,mfano ni wazi kumpenza mzazi wako hata kama kakufanyia mabaya(ingawa mara nyingine zipo kasi za watu kutowapenda wazazi wao),lakini hisia za upendo kwenye vitu ,mfano mtu anaweza kuanza mahusiano na mtu kwa kupenda kitu alicho nacho mtu husika .labda mali,maumbile,n.k
Hoja ya tatu hisia huwa na tabia ya kubadilikabadilika leo kuwa na hisia kali za kupenda kwenda mahali fulani,au kufanya kitu fulani lakini kesho kuwa na hoisia tofauti na leo!