Landed Property
Member
- Nov 17, 2011
- 40
- 7
Wasalaam,
Tunahitaji mtu/kampuni/taasisi itakayotushauri na ikiwezekana kutufungia "sound muffler" au kifaa kingine chochote kitakachoweza kurekebisha sauti kwenye chumba cha mikutano jijini Dar es Salaam.
Kimsingi chumba hicho ni kipya na tatizo lililopo ni kuwa mkiwa katika mkutano, kunakuwa na mwangwi wa sauti (sound echo)inayosababisha kutokusikilizana sawasawa.
Tafadhali kwa yeyote anayefahamu hao wataalam anaweza kunitajia hata jina lao tu niendelee kuwasiliana nao.
Natanguliza shukurani.
LP

Mnahitaji acoustics, kuna dogo mmoja alishawahi kunifanyia kazi hiyo, japo hakikuwa chumba cha kiwango cha ukumbi lakini nilimwona anaelewa anachokifanya na alifanya kazi ikawa kama ameongeza decoration kwenye chumba kikapendeza zaidi. Alichofanya alikuja akafanya test zake na kunielekeza vitu vya kununua nikaagiza china akaja kufunga nikamlipa gharama zake tu.
cc: Landed Property