Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Mkuu sijakataa bei, swali langu ni kwamba mbona site nyingi online hawazitaji kama sound bar nzuri. Kuna sound bar wameweka za zaidi ya milioni 10 lakini JBL hazipo.Zina Bei jiandae kuanzia million 2
Kwa bongo Nyingi ni fake zinakuwa zimebandikwa jina tu JBL. Maana wafanyabiashara wa bongo wajanja wajanja. Bora ununue samsung ama sony maana ofisi zao zipo Tanzania
Mkuu sijakataa bei, swali langu ni kwamba mbona site nyingi online hawazitaji kama sound bar nzuri. Kuna sound bar wameweka za zaidi ya milioni 10 lakini JBL hazipo.
Hizo site zako pekua vizur, JBL kweny sound wametulia kuzid hao wakina sony, SamsungMkuu sijakataa bei, swali langu ni kwamba mbona site nyingi online hawazitaji kama sound bar nzuri. Kuna sound bar wameweka za zaidi ya milioni 10 lakini JBL hazipo.
Naajipange kutumia pesa ndefu jbl sio poa ila go for pioneer hutojutaHizo site zako pekua vizur, JBL kweny sound wametulia kuzid hao wakina sony, Samsung
Chief ungeelekeza umenunua wapi na gharama yake pia utakuwa umesaidia sanaChukua JBL Sound Bar, utafurahia sana.
Jaribu kwenda kwenye maduka yenye sound bar za kampuni tofauti ikiwemk ya JBL wakutestie miziki yake utagundua JBL ni bora sana..
Mimi mwenyewe natumia JBL Sound Bar.
View attachment 2318972
Bei zake zinacheza kuanzia laki 9 hadi 2.8mil. inategemea na wauzaji.Chief ungeelekeza umenunua wapi na gharama yake pia utakuwa umesaidia sana
Jbl ni wanyama hawana kazi mbovu.Naajipange kutumia pesa ndefu jbl sio poa ila go for pioneer hutojuta
Ni hatar !!!!kama ya mshkaji ni balaa na nusuChukua JBL Sound Bar, utafurahia sana.
Jaribu kwenda kwenye maduka yenye sound bar za kampuni tofauti ikiwemk ya JBL wakutestie miziki yake utagundua JBL ni bora sana..
Mimi mwenyewe natumia JBL Sound Bar.
View attachment 2318972
Nina Sony Music System Shake X30 haifikii JBL 9.1.Ni hatar !!!!kama ya mshkaji ni balaa na nusu
Naona ni bonge la combination ila mi nataka twin towers na ila hiyo Sony shake x30 na Yale mataa yake plus jbl soundbar Kama ulaya ile appearance hatar!!!!Nina Sony Music System Shake X30 haifikii JBL 9.1.
JBL nimeunga kwenye TV, miziki ya video nasikiliziia kwenye JBL mpaka nafurahia.
Na hao uliowataja wana service centre DSM. Ikiharibika, kama ni SONY unaipeleka tu kule barabara ya cocacola Mwenge, au kama ni SAMSUNG wapo SamoraKwa bongo Nyingi ni fake zinakuwa zimebandikwa jina tu JBL. Maana wafanyabiashara wa bongo wajanja wajanja. Bora ununue samsung ama sony maana ofisi zao zipo Tanzania
.Niagize chochote utakacho kutoka Dubai mkuu utaletewa ulipo.
Whatsapp +971527794329