unakunwa nwa na kuchezewa nywele
Daby vipi tena mbona wammezea mate bibi yako[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa ndiy kina bi cheka wanakuambia ng'ombe hazeeki mainiDaby vipi tena mbona wammezea mate bibi yako
Daby kwa hiyo unataka ule maini ya bibi? Kasie utamuweza wewe?aHawa ndiy kina bi cheka wanakuambia ng'ombe hazeeki maini
Bibi umeicopy mtandao gani hii!? Imekosewa bhaana! Hapo wanaposema stick to my guns ili iweje umlipue au umteke upitie misimbazi yake?Good Morning people,
Raha sana kuimbiwa asikwambie mtuu, bila kujali sauti yake (vocal) kule kuimbiwa huku unakunwa nwa na kuchezewa nywele basi najikuta narembua machoo na kutabasamu kama kawaida ya Kasie... This is what he sung for me...
Talk about love, talk about trusttTalkin' 'bout forever baby
When I'm talkin' 'bout us I give you my word, stick to my guns
Believe when I tell ya baby that we've just begun
You don't understand, no the full intent of my plan
I wanna be your soul provider, I wanna stay that way
For the longest time I wanna be, your soul provider
Just say you'll let me and darlin' I will
I know you've been hurt, I know you're love shy
You don't have to say it baby It's gonna take some time
Ya got my heart, in the palm of your hand swear it's gonna stay there baby
Give me half a chance
You don't understand the full intent of my plan
I've been waitin' for a long time for somebody like you to give my love, all my love day and night
Just say you'll be mine for the rest of your life baby I'll show you why
Love you babu ake Kasie.... yeah you are and am your soul provider..
Huyu my grandma. Namheshimu labda ajichanganye. Namwinda mjukuu wake fulani...Daby kwa hiyo unataka ule maini ya bibi? Kasie utamuweza wewe?a
Ntakuimbia tu siku ikifika...Mweeeeeh how I wish niimbiwe na nanihiiiii...........
Mkuu akijichanganya tu unapiga mzigo? daby hufaiHuyu my grandma. Namheshimu labda ajichanganye. Namwinda mjukuu wake fulani...
Njoo nikuimbieMweeeeeh how I wish niimbiwe na nanihiiiii...........
Kwani wewe mkuu utaacha? Au tayari nzi wapo?Mkuu akijichanganya tu unapiga mzigo? daby hufai
Mkuu ukimfyatua bibi utapata laana. mimi acha nimalizane na shemej yako NziKwani wewe mkuu utaacha? Au tayari nzi wapo?
Hahaha...hivi unajua nzi hana kidonda ila ukimminya anatoa usaha [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ukimfyatua bibi utapata laana. mimi acha nimalizane na shemej yako Nzi
Mkuu acha hizo basiHahaha...hivi unajua nzi hana kidonda ila ukimminya anatoa usaha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji125] [emoji125]Mkuu acha hizo basi