Tumaini edson
Member
- Feb 1, 2011
- 54
- 0
asante sana.Pamoja Mkuu, Karibu Sana
Mie ni mwanaharakati mwenzenu, jina langu ni Tumaini edson, kwa kuwa ilm niliyokuwa nayo ni ile ya kiwango walichoridhia ccm, makosa yalikuwa mengi wkt wa mchakato wa kujisajili Jf, nawaombeni radhi na naomba mnipokee ili na mm kwa level yangu, niweze changia ktk kile ninachokiona, ili mradi 2 lengo letu ni kuikomboa Tanzania yetu, ambayo mimi naifananisha na nyumba iliyochakaa inayohitaji ukarabati wa hali ya juu ili kdg irejeshe HADHI yake. Asanteni sana.
karibu sana Tumaini😛opcorn asante sana mkuu.