abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
Hata darasani kuna wasioelewa pia... ndo maana wengine watafaulu wengine mtabaki kuwa magolikipa baadae... Bahati mbaya sana ndugu yangu huwezi kunielewa japo nimeandika kwa kiswahili....Mbona sijaelewa unamaanisha kitu gani?
natamani iwe kweli
habari,
Katika hali ya kustuka au kusasambuka basi Sophia Simba yupo katika wakati mgumu kimaisha hivi sasa... Akiwa anapiga simu kwa kila mtu na kuanza kuweweseka baada ya CHADEMA kumpiga biti kuwa itampiga sero kama akishindwa kusasambua umbea wake kuwa cdm inapewa dogodogo toka majuu... Yeye anaulizia hivi sasa kama sheria ipo ya propaganda za kisiasa zisifunguliwe kesi...
Mama huyu mwenye masters ya ¨sheria¨ anabahatisha mambo ama kwa bahati mbaya au ucheki bobu wake umezidi... Sasa Lissu na Mabere wanataka akanyee debe..Bahati mbaya saaana maana aliongea kwa bahati mbaya sana halafu anasema hakusema hivyo kama CDM walivyotafsiri bali alishangaa tuu na kudai labda hawa wanafadhiliwa lakini hakusema ubalozi wowote unawafadhili..
Masikini Sophia mdomo umekuponza maana jamaa wanataka ukalale sero hata dakika kumi tuu uje utuhadithie shemeji zako wa bagamoyo!!
Nawasilisha
Uongo mwingine Bwana wa Chadema hauna hata kichwa wala miguu. Hakika ni chama cha majungu na uongo.
Kwa taarifa yako Sifia Simba ni mwanasheria tena aliyebobea mwenye shahada ya Uzamili.
Sasa atababaika nini na makakama.
Mnyika.
Sofi anakusubiri mahakamani vipi au chadema mmeghairi na mlitaka tu sifa kwa wandishi wa habari?
nendeni mahakamani kama iliwauma ili Bi Sofi akawagaragaze na kuwavua nguo huko.
Acheni unafiki Chadema kuweni watu wa vitendo na sio maneno.

Sofi anakusubiri mahakamani ...ili akawagaragaze na kuwavua nguo huko.
Habari za vijiweni hazina tija jf. Weka topic ambayo ina source au utuambie kwamba ni tetesi otherwise siwezi kuchangia "umbea".[/QUOTE]
.....umenikumbusha hadithi ya "heri mimi sijasema"