Sophia Mwakagenda Anatufaa sana BAWACHA

Sophia Mwakagenda Anatufaa sana BAWACHA

Joined
Jul 21, 2014
Posts
31
Reaction score
16
Binafsi kwa muda mrefu baraza hili linahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kutukutanisha wanawake wote bila kujali itikadi zetu.

Kiongozi mwenye kufanya kazi nyingi sana za jamii katika nchi yetu.

Kiongozi mwenye ushawishi kama mama Mwakagenda.

Mama Sophia mara nyingi mama huyu amekuwa muhimu sana kwa jamii anaoneka kama tumaini jipya kwa BAWACHA.

Naamini Mama unasoma mitandao ya kijami basi nakusihi kama unatupenda sisi wanawake, basi nakuomba mama uchukuwe fomu ya Bawacha.

Mama tunakuhitaji mama Sophia sina namba yako nitumie kuwasiliana na wewe mama,nimetumia JF kwa nia njema mama.

Tuko maelfu kwa Maelfu wanawake tunaokutaka utuongoze

10544333_667073150034144_8220555816441154979_n.jpg

10177369_618040771604049_5128217909413782248_n.jpg
1555452_567182220023238_1429031667_n.jpg

Inaoneka ni msomi wa juu sana huyu mama mara ya mwisho nilimsoma kwenye gazeti la Mwananchi la jumapili walipomuhoji huyu mama Ni jembe kwa kazi alizozifanya anastahili
Mama kama unasoma JF tunaomba CV yako,
 
Nimeikuta mahali haya maelezo sijajuwa ndio au sio Google ndio imenipatia Andika Sophia Mwakagenda
sophia-mwakagenda.jpg

[h=1]SOPHIA MWAKAGENDA[/h] WOMEN COORDINATOR at TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT SOCIETY
Tanzania Nonprofit Organization Management
[h=2] Join LinkedIn and access SOPHIA MWAKAGENDA’s full profile. It's free! [/h]
As a LinkedIn member, you'll join 300 million other professionals who are sharing connections, ideas, and opportunities.

  • See who you and SOPHIA MWAKAGENDA know in common
  • Get introduced to SOPHIA MWAKAGENDA
  • Contact SOPHIA MWAKAGENDA directly

View SOPHIA's full profile

[h=2]SOPHIA MWAKAGENDA's Overview[/h] Current
  • WOMEN COORDINATOR at TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT SOCIETY
  • WOMEN COORDINATOR at TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT SOCIETY
Past
  • CASHIER at HOUSE OF ART,DAR-ES-LAAM
Education
  • KIMAGHE IRELAND-MS-TCDC/COADY INSTITUTE/KIVUKONI ACADEMY
Connections 132 connections
Websites
[h=2]SOPHIA MWAKAGENDA's Experience[/h]
[h=3]WOMEN COORDINATOR[/h] [h=4] TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT SOCIETY [/h]

September 1994 – Present (19 years 11 months) Tanzania
AS A WOMAN COORDINATOR:
Our organization, which works with women and youth groups in the country, is keen to supporting and empowering women leaders economically, socially, culturally and politically as stipulated in our strategic plan (2011-2015).
As a desk officer and women coordinator, my task is to oversee and coordinate the program that necessitate me to have in-depth and insight knowledge, understanding and capability on women leadership nationally and globally.

My tasks as our strategic plan of 2011-2015 are planning and conduct training in gender issues, conduct policy advocacy on women issues and implement social accountability initiative such as PETS as a tool.

MY PERSONAL LONG TERM GOAL:

‘Leadership requires personal courage starting your convictions even when you know they are not popular” Virginia Woolf.
In my mind and passion is to see my country Tanzania is free from poverty especially in the area of economy, my plan of 10 years to come is to work with my government on policy issues. To address challenges of making public institution work, especially in services by facilitating access to basic services by poor and marginalized in society the majority of whom are women and children.

[h=3]WOMEN COORDINATOR[/h] [h=4] TANZANIA WOMEN AND YOUTH DEVELOPMENT SOCIETY [/h]

August 1994 – Present (20 years) Tanzania
AS A WOMAN COORDINATOR:
Our organization, which works with women and youth groups in the country, is keen to supporting and empowering women leaders economically, socially, culturally and politically as stipulated in our strategic plan (2011-2015).
As a desk officer and women coordinator, my task is to oversee and coordinate the program that necessitate me to have in-depth and insight knowledge, understanding and capability on women leadership nationally and globally.

My tasks as our strategic plan of 2011-2015 are planning and conduct training in gender issues, conduct policy advocacy on women issues and implement social accountability initiative such as PETS as a tool.

MY PERSONAL LONG TERM GOAL:

‘Leadership requires personal courage starting your convictions even when you know they are not popular” Virginia Woolf.
In my mind and passion is to see my country Tanzania is free from poverty especially in the area of economy, my plan of 10 years to come is to work with my government on policy issues. To address challenges of making public institution work, especially in services by facilitating access to basic services by poor and marginalized in society the majority of whom are women and children.

[h=3]CASHIER[/h] [h=4] HOUSE OF ART,DAR-ES-LAAM [/h]

December 1988 – May 1994 (5 years 6 months)

[h=2]SOPHIA MWAKAGENDA's Education[/h]
[h=3]KIMAGHE IRELAND-MS-TCDC/COADY INSTITUTE/KIVUKONI ACADEMY[/h] [h=4]BA in Development Studies, Development Economics and International Development[/h]
Activities and Societies: Adocacy issues about women and youth in the county, Trainings to women groups, Advocate for children rights
 
Naamini sijachelewa kusema kitu juu ya mama huyu. Nilimfahamu miaka mitatu iliyopita kupitia media na kwa mara ya kwanza uso kwa uso nilikutana naye mwaka 2012 na tukawa pamoja katika shughuli za ujenz wa chama kwa takriban mwezi m1, nikagundua kuwa huyu mwanamama ana kitu cha tofauti ktk kulihudumia taifa hili. Kwanza moyo wa kujitolea alio nao (niliona ktk muda huo) pili ujasiri na uwezo wake mkubwa ktk ujenz wa hoja tatu taaluma yake ilinifanya niamini kwamba anajua anachofanya, NAOMBA nami nitoe wito kwake agombee nafasi hiyo kwani ana wito kwa jamii kubwa zaidi, waliotangulia kwenye BAWACHA wamefanya vizuri, lakin wanahitaji kuungwa mkono na kupokewa kijiti ili twende mbele. Akichukua fomu ntamchangia hata pesa
 
Anajuwa nini anachokifanya kwa wanawake Anajuwa mahitaji ya wanawake Anafahamu umuhimu wa mwanamke katika ukombozi wa fikra Anafahamu umuhimu wa mwanamke katika familia Anafahamu njia ya kutatua kero za wanawake katika jami Anaifahamu vyema jamii anayo ishi Anaamini bila mwanamke hakuna mabadiliko'
 
najua unamfanyia kampeni.ingawa mie sio Bawacha lakini huyu mama kwa kweli yuko vizuri japo kwa kiasi kidogo nachomjua. Anajiamini sana lakini ni mtu muungwana sana, ni mpole , mvumilivu,muwazi na mwenye mawazo chanya.naamini pia ana kipawa cha uongozi na nadhani pia ni mwaminifu.Ni mfano wa wanawake ambao unaweza kutamani awe mama yako, dada yako,shangazi yako au mke wako! Aidha sina uhakika kama anamudu mapambano katika chama cha upinzani maana huku TZ upinzani ni uasi
 
Asante kwa kuliona hilo anatufaa sana sisi BAWACHA anauwezo mkubwa sana katika kuitetea jamii na ndio lengo la chama chetu ni kuwatetea watanzania.
Mama Sophi asante pokea ushauri huu tunaomba namba yako mama ya Mpesa au Tigo pesa
 
ametoka kule kwetu? nauliza tu kwani kuuliza sio ujinga japo muulizaji ni mjinga!
 
Asante kwa
kuliona hilo anatufaa sana sisi BAWACHA anauwezo mkubwa sana katika
kuitetea jamii na ndio lengo la chama chetu ni kuwatetea watanzania.
Mama Sophi asante pokea ushauri huu tunaomba namba yako mama ya Mpesa au
Tigo pesa

Mchagga???
 
Labda kwa baadae cause kwa sasa uchaguzi wa BAWACHA umeshapita.
 
Back
Top Bottom