soon kutatoka iphone ya android, wait whaaaat!!!!! Iphone ya android?

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,278
Reaction score
44,414
kama mpo aware kuna kampuni ya kimexico inaitwa ifone ambayo walikua wanaclaim wameibiwa jina na iphone na iphone nao wakawashtaki wasitumia jina but apple wakashindwa na kampuni ipo hadi leo.

Hio cha mtoto sasa kuna kampuni nyengine ya brazili wanasema wao waliomba kulicence hilo neno toka mwaka 2000 kwenye mamlaka husika. Mwaka 2008 wakapewa jina la iphone na mpaka leo kampuni hio ina haki ya jina la iphone nchini brazili.



cha ajabu zaidi hio kampuni imeamua kuanzisha nayo kutengeneza simu nazo waziite iphone na la kushangaza kabisaa hizo simu zitatumia os ya android so tegemeeni new iphone zenye anroid.

Source
There Could Soon Be An "iPhone" Android. Wait, What? | Pocketnow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…