Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,724
- 165,132
Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
international community ipi dogo? yaani Tundu kukamatwa ndio dunia itishike? viroja vya Sefu havijafua dafu. Kwani kauwawa au amepelekwa polisi kuhojiwa? Toka EL awadanganye ICC na ICJ mmeshawehuka,poleni sana!Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
So you think you can go on and on and there won't be serious international intervention?Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!
Jamaa wanafikiri jumuiya za kimataifa ni kama chadema!international community ipi dogo? yaani Tundu kukamatwa ndio dunia itishike? viroja vya Sefu havijafua dafu. Kwani kauwawa au amepelekwa polisi kuhojiwa? Toka EL awadanganye ICC na ICJ mmeshawehuka,poleni sana!
Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!
Jpm ndio mtu wa kwanza kuwaita wazungu wa acacia wanaume wa shoka. Sasa wewe tafakari kinyume chake upande wetu tutakua jinsia ipi.Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!
Vichaaa wengine bhnaaaWho cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!
Kama tumekubali nchi iongozwe na viongozi ambao vyeti vyao vina mashaka unategemea niniSoon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
Ni mtu mwenye kiwango cha chini sana cha uelewa ambaye anaweza kulinganisha Tanzania na Rwanda linapokuja swala la mahusiano ya kimataifa. Mwenye kumbukumbu Kagame aliwahi kusafiri kwenda wapi atujuze na atuambie alienda kufanya nini. Tanzania ni taifa linaloheshimika sana duniani kwa mambo mengi. Unless mtu aseme kwamba tulihitaji aina ya uongozi wa kina Kagame ili tuheshimike kimataifa, lakini given the popualtion, Tanzania needs international community than Rwanda does. Haya yanayofanyika yanatia doa. Full stop.Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!
Post-truth politicsLABDA WAKINA INTERNATIONAL CRICKET COMMMITEE(ICC). YAANI MJINGA LISU NDO AFANYWE TUTEGWE NA JK, ACHA UTANI MAALMU SEIF IMESHINDIKANA NDO IWE KWA LISU. LABDA UNGESEMA MAACACIAN KIDOGO NNGEKUELEWA
kweli mkuu, kuna kila dalili.Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
.....kwani ndo wanao mtuma !?Soon tutaanza kutengwa katika mambo mengi na hata kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwa baadhi ya wakubwa.
Tutabaki na ushirikiano na nchi za Kiafrika tu labda na nchi kama China lakini sio nchi za Ulaya na Marekani.
Kama siyo kutengwa basi tutaanza kupokea matamko ya kulaani haya yanayoendelea.
Usiseme Watanzania, sema wewe. Wengi tunamkubali Tundu Lisu kama mtu mwenye ujasiri, akili, weledi na uwezo mkubwa wa kutambua, kujenga hoja na kutetea utawala wa sheria.Who cares?????? Mbona Kagame tena yeye anawauwa wajinga wajinga kama ninyi mbona hajawahi kuzuiwa kusafiri??? Na kingine mabwana zenu wazungu they will only care pale ambapo maslahi yao yanaingiliwa in a sensible way lakini siyo kwa issue za ethics kama za ACCACIA. Hivyo msahau, lisu ni kichaa na ana upungufu wa akili na ndiyo maana watanzania tumempuuza na kwa sasa anadharaulika sana!