Sony experia Z 2G

Sony experia Z 2G

Solareclipse2

Member
Joined
Apr 24, 2015
Posts
26
Reaction score
6
Ina hali nzuri sana.
Imetumika wiki 1 ipo na charger yake.
Inasoma 2G(E) tu.
Bei ni 330k maelewano yapo
Tuwasiliane 0657233029
Ahsanteni ImageUploadedByJamiiForums1434125253.915336.jpg ImageUploadedByJamiiForums1434125296.836405.jpg
 
Nani atumie 2G sasa mkuu,we r moving to 4G,iyo 2G inasumbua ka nini
 
Daaa!!!!ingekuwa 3g lakini ningekuwa na hela ya haraka coz ningetupia ktk utafiti wangu wa kuibadirishaa na kuweka window8 kwa sony
 
Hiyo simu imekuwa inasoma 2G tangu mpya au umeifanyia makeke, au haikupaswa kutumika Tz? Naona specs zake ina 4G

Sikuifanyia makeke mkuu haikupaswa kutumika nchini Tanzania. Nimeweka wazi tatizo hili ili mtu atakayehitaji ajue simu ipoje kuliko kumushikisha mtu bila kujua.
 
Back
Top Bottom