wadau, nina hii simu mpya aina ya sony experia v3+, nimeinunuaa tu juzi lakini inabidi niiuze tena kwa sababu za kifedha.
Nimeinunua Tshs laki 3 na 30. Ukiwa na interest nayo niambie, nakupa kwa laki 3 na 10.
Niko Dar es salaam.
Karibu.
Pm kama uko interested.