Niko na hii simu aina ya Sony Ericson ilitoka Germany, sasa noma ni kwamba network yake iko locked kwa line za huko Ujerumani.
Kunaeza kua na yeyote mwenye idea ya jinsi ya kuweza kui-unlock?
Natanguliza shukran.
NB;
Hio picha nlioattach inaonesha inahitaji sim card, Kuna sim card ipo tayari ila inaonesha inahitaji sim card sababu haiezi soma line za huku mpaka iwe unlocked.