Habari za muda huu wakuu?
Samahani bwana, hivi Kuna mtu yeyote anaufahamu mradi unaohusika na maswala ya Ukimwi unaosimamiwa na
Sonnabend NGO?
..
Wamemwaga ajira nyingi sana zenye mshahara mnono kuanzia
Dola 2500 hadi 3500 kwa Mwezi. Sasa changamoto yake ni kwamba ,
Mimi nimeapply ila nimeshindwa kusubmit
Staff Entry Form kwasababu, Wanataka niambatanishe na
Psychometric assessment Report na wameattach link
WHY PAR? – ICPD Africa ya Taasisi inayojihusisha na utoaji wa hizo Assessment.
Hizo
Psychometric Report zenyewe zinalipiwa kuanzia Dola 50 na kuendelea, na submission ni kesho tarehe 2 March 2024.
Je, kuna mwenye experience ya kufanya kazi na hawa watu, na je huo ndiyo utaratibu wanaoutumia siku zote kwenye
recruitment?
View attachment 2921460View attachment 2921461