Davis1984 Member Joined Dec 1, 2021 Posts 7 Reaction score 6 Mar 29, 2023 #1 Siasa ni mtazamo tu,lakini inawezekana kuyapeleka mambo yako utakavyo.Jambo la kuzingatia tu ni kutokuvunja sheria za nchi. Ukifanya hivi utakua umejijengea kisiwa chako na kuishi huru.
Siasa ni mtazamo tu,lakini inawezekana kuyapeleka mambo yako utakavyo.Jambo la kuzingatia tu ni kutokuvunja sheria za nchi. Ukifanya hivi utakua umejijengea kisiwa chako na kuishi huru.