Somo kwa TCU

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Elimu ya juu inatakiwa kua hivi
 

Attachments

  • 1409347113467.jpg
    30.2 KB · Views: 530
Imetulia, wasimamaizi wana kila aina ya zana hakuna kuibia hapo
 
Safi sana tena ya uhakika na siyo ya magumashi kama tulivo zoea hapa bongo
 
Hahaha! Tatizo ni kuwa hata ukifanya hivyo bado kuna mbinu mbadala zitafanyika tu
 
huku ndio mana hata tezi dume tunadhindwa kulichana, badala kipasua mguu tunapasua kichwa GPA za kwenye karatasi tu,
na GPA za mapajani
 

Attachments

  • IMG-20141113-WA0001.jpg
    17 KB · Views: 91
Mitihani ya namna hii ujue hapo maswali ni namna ya kutengeneza mabomu na silaha nyingine hivyo suala la kuibia hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…