Somo: Chura

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
UMESHAWAHI KUFANYA HILI JARIBIO.?

Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambocho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..!

Kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake. pindi temp inapokaribia kufika boiling point yaani nyuzi 100 chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo ya moto na yanayo endelea kuchemka!


kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka.

SWALI;

NINI KIMEMUUA CHURA.!??
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayo
chemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..

FUNZO

Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE;
Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.

BADILIKA

Nimeipaste ili tupate ote Maarifa!
 
Amechelewa kuchukuwa maamuzi hayo mapema ili asije kuharibia jaribio lako ukaanza kumtupia lawama zisizo na msingi, na laiti angejuwa nia yako ovu mapema asingekubali..,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…